NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 16, 2023

WANASIMBA Ni NGUVU MOJA

 Wana Lunyasi 🦁


Zimebaki siku mbili tuu twende tukafanye yetu Kwa Mkapa


Hakikisha umenunua tiketi au nunua tiketi yako sasa


Siku ya mechi hakikisha unakuja na Scarf yako au Bendera yako ili kuhanikiza na kupendezesha mchezo wetu


@mohmedia72.com Usiisahau ku follow  page hii



No comments:

Post a Comment