NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 17, 2023

NAHODHA AL AHLY ATUMA UJUMBE MAMELODI .

 NAHODHA AL AHLY ATUMA UJUMBE MAMELODI

.

Hili ndio soka la Afrika. Miamba ya soka la Afrika, Al Ahly hawataki kusikia chama lao linatoka hatua ya Makundi, wanalia na figisu.

.

Al Ahly wanadai Mamelodi kwa namna yoyote ile ana kila uwezo wa kushinda mechi ya kesho dhidi ya Al Hilal na wao wamesema watatoa sapoti hata ya Mashabiki kuwashangilia Mamelodi 

.

“Wale Mamelodi hata wacheze mechi kumi na Al Hilal, hawawezi Kufungwa hata moja. Mamelodi imetengeneza timu bora kuwa ngome yao. Wameweka nguvu kubwa. Haikuja bahati mbaya tu. Kuna heshima inabidi tuwape, hivyo tunatarajia watacheza kwa ubora wao na kushinda.” Kipa na nahodha wa Al Ahly, Mohamed El Shenawy.

follow usipitwe na mengi



No comments:

Post a Comment