NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Apr 7, 2023

SIMBA SC 5-1 IHEFU FC

𝐅𝐓: #ASFC
🏟️ Azam Complex, Chamazi

SIMBA SC 5-1 IHEFU FC
SIMBA SC GOAL
⚽⚽⚽ 2' 16' 28'
⚽ Ntibazonkiza 40'
⚽ Sakho 90+4'

IHEFU FC GOAL
⚽ Loth 61'

Simba SC imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam (ASFC) kufuatia ushindi wa 5-1 dhidi ya Ihefu FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Simba SC itachuana na Azam FC iliyotinga nusu kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye hatua ya robo fainali.



No comments:

Post a Comment