NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Apr 6, 2023

ORODHA YA WASANII MATAJIRI ZAIDI EAST AFRICA - 2023

 Forber wametoa list ya wasanii matajiri zaidi East africa 2023,

Huku nafasi ya Kwanza ikiongozwa na Bobwine From Uganda, anautajiri wa USD Million 9  akifatiwa na Diamond platnumz  akiwa na utajiri wa Dollar USD Million 8.2 


3: Jose chameleon, Uganda Net worth  USD Million  8.


4:akothee, Kenya Net worth USD  7.6 million


5: Professor Jay, Tanzania 7.5USD Million 7.5


6: Alikiba, Tanzania. 7.2 USD Million 


7: Jaguar, Kenya , Net worth  7 USD Million


8: Harmonize,Kenya, Net worth 5.9 USD Million


9: Sauti sol,Kenya(Group Singers) Net worth USD 5.8 Million


10: Bebe Cool: Uganda, Net worth 5.6 USD Million.



No comments:

Post a Comment