NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Jun 22, 2023

SIMBA YAMTEMA ERASTO NYONI

Kutoka katika viunga vya Simba Sport Club wanatangazia  umma kuwa hawataendelea kuwa na mchezaji wao kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake kumalizika msimu huu.

Erasto nyoni baibai Simba SC  ni mwendo wa kuangalia mambo mengine.

Vipi kuhusu sawadogo ila mungu yupo nae sana maana ni alikuja kwa sifa lakini hamna lolote


 Kupataaarifa zaidi njoo kwenye Simba App Ujionee mengi



No comments:

Post a Comment