NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Jun 14, 2023

SINGIDA BIG STARS YAUZWA

 Rasmi timu ya singida big stars imeuzwa kwa Japhet Makau ambae kwasasa ndio mmiliki mpya wa timu hiyo itakuwa inafahamika kama (SINGIDA FOUNTAIN GATE FC).

Japhet Makau ni mmiliki wa Fountain Gate FC na kwa saa singida itakuwa timu yake kwa jina la SINGIDA FOUNTAIN GATE FC 

Muda sio mrefu watamtambulisha  CEO wao mpya na kuendelea kujiandaa na msimu ujao


No comments:

Post a Comment