NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 26, 2023

FAINALI KOMBE LA CARABAO

 FT: FAINALI KOMBE LA CARABAO


🏟️ Wembley

MAN UNITED 2-0 NEWCASTLE

⚽³³' Casemiro

⚽³⁹' Rashford


Manchester United imetwaa kombe la EFL Carabao kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye fainali katika dimba la Wembley.

Manchester United imetwaa EFLCup kwa mara ya 6 ikiwa ndio klabu ya tatu kutwaa kombe mara nyingi zaidi nyuma ya Liverpool (9) na Man City (8).

Hiki ni kikombe cha kwanza kwa Mashetani Wekundu kwa kipindi cha miaka 6 tangu 2017.

Leo wapo na furaha sana hawajaliona muda mrefu miaka 6 sio mchezo, hongereni sana Manchester United 

Follow  more


No comments:

Post a Comment