NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 25, 2023

AL AHLY 2-2 MAMELODI

 🏟️ AL AHLY 2️⃣-2️⃣ MAMELODI


Hapa Limepigwa Pira Dunia yaani mwendo mwanzo mwisho .


Ila Wachezaji wa Mamelodi Sundowns mguuni wana Sumaku wale Viungo washambuliaji wa moto sana .


Cassius Mailula anasababisha mabao mawili Assist na bao la pili shuti lake liligonga mwamba Morena akatikisa nyavu .


Makoena huyu ni kocha wa Bol haswaa Mamelodi wananikumbusha migusu ya Barcelona Al Ahly wamelala na Viatu mana siyo Kwa pasi Zile .


Yule Allende,Maema na Mailula ufundi mguuni wamebarikiwa  wanaufanya Mpira watakavyo .


Aliou Dieng bonge la Kiungo huyu walikuwa na vita nzito na kijana wa Sundowns Makoena pale kati .


Mo Hany anakosa penalty Ronwen Williams anafuta na kuibeba Sundowns huyu ni Moja ya Makipa Bora Africa Kwa sasa 


Kwa huu Mpira 😁harafu Kuna timu zipo Bongo zinawaza kubeba Ubingwa huu itakuwa miujiza Kwa sasa .


😁Kwa huu Mpira ndugu zangu na mbio hizi wale wazeee hapa wangetapika ni Bora waliingia mitini  walichungulia mbele 😁🏃


Abdelmonem ⚽ (5)  Shalulile ⚽ (34)

 El Shehat ⚽  (74)         Morena ⚽ (80)




No comments:

Post a Comment