NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Jun 23, 2023

GADIEL MICHAEL APIGWA CHINI

KUTOKA KATIKA VIUNGA VYA TIMU YA SIMBA SPORTS CLUB

Uongozi wa klabu unapenda kuwajulisha kuwa hatutaendelea kuwa na mlinzi wa kushoto Gadiel Michael baada ya mkataba wake kufikia mwisho na hato endelea tena na timu ya Simba sports club 

Thank You Gadiel Michael kwa kuitumikia timu ya Simba SC 

Kupata taarifa zaidi njoo  Simba App



No comments:

Post a Comment