Mchezaji Bernard Morrison BM3 kutokea Young African sc baada ya mkataba wake kuisha amejiunga na club ya Azam fc,
Azam fc imekamilisha usajili wa winga BM3 aliye hudumu YANGA & SIMBA
Na amesema kuwa
"Naahidi kuonyesha nidham ninapo kuwa uwanjani na nataka YANGA & SIMBA wajuwe kuwa nina nidhamu kuliko mchezaji vyeyote wa ligi kuu Tanzania.
Je! Kwa tunavo mjuwa BM3 atafanya hivyo?????
No comments:
Post a Comment