Kutoka Nigeria burnaboygram ameshinda Tuzo ya "Best International Act" katika Tuzo za Muziki za BET Awards 2023 zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Katika Ukumbi Wa Microsoft Huko Mjini Los Angeles nchini Marekani.
Burnaboy alikuwa akichuana na
AyaNakakura, AyraStarr, CentralCee, EllaMai, KO, L7Nnon, #Stormzy, #Tiakola Na #UncleWaffles katika kipengele cha BEST INTERNATIONAL ACT 2023.
Hii inakuwa mara ya Nne (4) kwa Burna Boy kushinda kipengele hicho kwani alishachukua tuzo tena mwaka 2019, 2020, 2021 Na 2023
Tuzo za BET rasmi zilianza kutolewa mwka 2001, zimeandaliwa mahususi kwa ajili ya kusherehekea mafanikio ya kazi za Wamarekani weusi katika sanaa ya muziki, uigizaji, michezo, zinatolewa usiku wa leo huko nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment