NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 17, 2023

UKUBWA WA SIMBA WAMSAIDIA SAKHO

 Ukubwa wa Klabu ya Simba Sc umemsaidia Pape Ousmane Sakho kuitwa timu ya Taifa ya Senegal,, Mabingwa wa AFCON.


Kwanini...?


Sakho hajapata muda mwingi wa kucheza akiwa na Simba Sc msimu huu, na kwa lugha rahisi Sakho hayupo kwenye ubora wake lakini kufanya vizuri kwenye michuano ya Kimataifa kwa Klabu anayoichezea ukijumlisha na lile bao alilowafunga Asec Mimosas ya Aziz Ki ndio kumechangia Aliou Cise kumuita kwenye squad yake.


Unadhani kuna wachezaji wangapi wa Senegal wenye vipaji wanacheza hapa Afrika?


Sema hatuwezi kuuona ukubwa wa msitu tukiwa humo humo ndio maana tunachukulia poa.


#Hizi Tuzo binafsi za Afrika ni rahisi kushinda ukiwa na Klabu ya Simba Sc.




No comments:

Post a Comment