NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 20, 2023

MAMBO 10 NILIYOYAONA SIMBA VS HOROYA

 MAMBO 10 NILIYOYAONA SIMBA VS HOROYA 


1.Hongera kwa simba kwakuliheshimisha taifa na kusonga hatua ya robo fainali 


2.Mwamba wa Lusaka siku nzuri kazini kiwango bora sana anaingia mara tatu kambani okoa nguvu na muda sema hat-trick kwa mwamba wa Lusaka 


3.Shomari kapombe na MOHAMED HUSEIN wameufanya mchezo kuwa rahisi sana kwa simba kwenye kuongeza mashambulizi kwa mawinga wao kitu ambacho kiliwapa wakati mgumu mabeki wa Horoya na kuwafanya wawe na makosa mengi well done kapombe na Mohamed Hussein


4.Jean baleke ogopa matapeli tuliambiwa ni mchezaji wakugoogle leo amewafunga magoli mawili horoya anajuwa kusimama maeneo mazuri na anafanya pressing za Hatari kwa mpinzani ni kama gari limewaka zaidi kwake


5.Putin Sadio kanoute kiungo katili wa boli utulivu mkubwa sana na leo amecheza vizuri si kawaida yake kumaliza mchezo bila kadi ya njano  hongera kwake magoli mawili si mchezo kumbuka si mshambuliaji 🤣


6.Mfumo wa leo wa kocha robertinho wa 4.2.3.1 ulimpa faida kubwa kocha kivipi? 


7.Saido ntibanzokiza, Chama, na Kibu Denis ni viungo ambao wanauwezo wa kukaa na mpira mguuni wanacheza kwa utulivu ni ngumu kwa mabeki kuwakaba walikuwa na uwezo wakutengeneza nafasi na kuzitumia hata goli la kwanza la baleke lilitokana na pressing ya kibu, chama, na saido


8.Simba wakati inashambulia ilikuwa na viungo wanne na kuwafanya horoya wakose man to man making na kuwafanya wawe na makosa ya mara kwa mara pongezi sana kwa viungo hawa 


9.Well done Joash Onyango na Henock Inonga walikuwa bora sana kwenye maeneo yao ya ulinzi wamecheza kwa jihadi sana leo kulinda lango lao lisidhulike kama unahitaji walinzi kwako kuna Onyango na Inonga


10.Man of the match kwangu ni Saidio kanoute kacheza technical football


NB kama goli saba ni chache zigeuze ziwe chapati mpe mwanao azile akizimaliza niite mbwa🤣🤣


No comments:

Post a Comment