NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 21, 2023

CAF IMETOA MAGOLI BORA KATIKA MZUNGUKO WA (5)

✍️CAF imetoa mabao bora katika mzunguko wa 5 ambapo klabu ya Simba SC ya 🇹🇿 imetoa wachezaji wawili ambao ni Saido Kanoute na Clatous chama ambao walifunga mechi dhidi ya Horoya AC katika uwanja wa Mkapa kwenye ushindi wa mabao 7-0.


Mabao yaliyochaguliwa ni lile la kwanza la Chama alilofunga dakika ya 10 kwa 'frii kiki' na la Kanoute alilofunga lililokuwa la saba dakika ya 87 kwa shuti kali.




No comments:

Post a Comment