NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 16, 2023

SIMBA KIBARUA WANA KIZITO

 VIGOGO Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Horoya ya Guinea 🇬🇳 .

.

Simba imepata kupangiwa mwamuzi Mohamed Adel Elsaid kutoka Misri, katika mechi saba za kimataifa alizochezesha timu ya nyumbani imeshinda minne, sare miwili na kupoteza mmoja.




1 comment: