NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 24, 2023

YANGA TUNAMBENI SAPOTI YENU


 YANGA TUNAOMBA SAPOTI YENU


Afisa habari wa Klabu ya Vipers FC Ameomba Sapoti kutoka Kwa Mashabiki wa Yanga Watakapokuja Nchini Tanzania Wiki ijayo Kucheza dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Mkapa


"Tuna Uhakika Tunachukua Alama 3 Kwa Simba Hapa Nyumbani Siku ya Kesho hatuna shaka kabisa, halafu Wiki ijayo Tutakuwa Dar es salaam Kwa Ajili ya Mchezo wa Marejeano"


Tunaomba Sapoti kubwa kutoka Kwa Mashabiki wa Yanga na Wana Yanga wote, Wao ni Wananchi na sisi pia ni timu ya Wananchi Tunajua Watatusapoti " Afisa Habari wa Vipers FC 


Waswahili Wanasema Usiache Mbachao Kwa Msala Upitao, Je Wananchi Vipi Mpo Tayari Kumuacha Ndugu yenu Msapoti Wageni ?? 


Follow ukurasa Wetu 

No comments:

Post a Comment