NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 23, 2023

Yanga na haier wasaini mkataba

 Klabu ya Yanga SC imeingia mkataba wa udhamini wa Tsh bilioni 1.5 na kampuni ya vifaa vya Kielekroniki ya HAIER ambayo itakuwa mdhamini wa klabu hiyo katika michuano ya Shirikisho la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi.

Inaelezwa kuwa Yanga imefikia hatua hiyo kwa kuwa mdhamini wake SportPesa haruhusiwi kwenye michuano ya CAF kwa kuwa ni kampuni ya kubashiri (betting)

Hivyo Wananchi wamelazimika kuingia mkataba wa muda mfupi na Kampuni hiyo lakini mkataba wao na SportPesa bado uko pale pale.

Ipi nzuri hapo maoni yako👇👇

#mo72hd 

#NewsUpdate 

#mo72hdupdades


No comments:

Post a Comment