NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 23, 2023

Simba wamenisaidia sana

 SIMBA WAMENISAIDIA SANA

         (Hassan Dilunga)


Naomba niwe mkweli, Simbasc wamenisaidia Sana Kwasababu wameniunga mkono licha ya mkataba wangu kumalizika lakini wamekuwa bega kwa bega kunisaidia kwasababu nilipata majeraha nikiwa na wao ila Nashukuru naendelea vizuri kwasasa.

mo72hd 


🖕FOLLOW HII ACCOUNT KWA HABARI ZA SIMBA ZOTE

SIMBA SC TANZANIA FANS🇹🇿 

SIMBA SC TANZANIA - 2023


No comments:

Post a Comment