NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 23, 2023

kwa sasa mambo iko powa kwa feitoto

 SASA MAMBO NI POA KWA FEITOTO ATAKUWEPO MPAKA 2026

Kiungo wa Yanga Feisal Salum ameongeza kandarasi ya ya Miaka miwili zaidi ya kuendelea kuwatumikia Wananchi na wenye thamani ya Tsh.Milioni 350 na mshahara unaofikia Tsh.Milioni 15 kwa kila mwezi,


Mkataba wa awali ulisalia wa msimu mmoja na nusu na sasa ameongeza tena misimu miwili mbele,

Sasa Feisal ataendelea kucheza  Yanga Sc mapaka 2026.


No comments:

Post a Comment