NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 23, 2023

Uwanja wa mkapa wapingwa "stop""

 UWANJA WA MKAPA WAPINGWA "STOP"

 

-Shirikissho la soka barani Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin William Mkapa kutokana na ubovu katika eneo la kuchezea (Pitch) lililoharibika vibaya na kuonekana kutofaa kwa matumizi ya Soccer.


-Hivyo mechi ya mwisho katika uwanja huo utakuwa ni Leo katika mchezo katika ya KMC na Yanga SAA 10:00 jioni na baada ya mchezo huo, Uwanja utafungwa kwa muda wa mwezi 1 kupisha ukarabati.

#mo72hd 

#NewsUpdate 

Usisahau ku like na ku comment maoni yako


No comments:

Post a Comment