Kila la kheri simba sc"Baada yakupoteza Mchezo wetu wa Pili kwenye Michuano ya Klabu Bingwa dhidi ya'Raja Casablanca" na kutoa sare Kwenye Mechi ya Ligi kuu Dhidi ya Azam,
Leo Jioni Kikosi Chetu Kitaondoka Nchini kuelekea Uganda na Mara baada ya kuwasili watafanya mazoezi Mepesi kurudisha miili sawa kuondoa Uchovu wa safari na kesho kutakuwa na Ratiba ya mazoezi Asubuh na Jioni kwenye Dimba La 'St Marry' Ambapo Ndiyo Mchezo wetu Na Vipers Utachezwa siku Ya Jumamosi,
Wachezaji wote watasafiri na Timu na Hadi Sasa Hakuna Taarifa za Majeruhi mwingine zaidi ya "Okrah" ambaye Kwasasa Ameanza kupona, #NguvuMoja
Kila lakheri Timu nzuri Simba sc Tanzania, InshaAllah tutashinda Michezo inayofuata
.

No comments:
Post a Comment