NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 25, 2023

KILA LA KHERI WANASIMBA

 

Kila la kheri simba sport club katika mchezo wenu dhidi vipers ya nchini Unganda

"Mashabiki wa simba wote wapo pamoja na nyie uongozi na tunawaombea ushindi katika michuano hii ya CAF CHAMPIONS LEAGUE"

Tunaamini kuwa leo tunaenda kushida na kupata alama (3) na kusubiri tena mechi zinazofuata cha umuhimu ushirikiano tu

Follow usipite na mengi 

No comments:

Post a Comment