TP MAZEMBE 0️⃣-1️⃣ YANGAHatari hatari ni young African ⚽Faridi mussaWananchi wanateka mji huko Lubumbashi,Congo DRC 🇨🇩 🔥 Farid Mussa anafunga bao la Kideoni kuwapa Uongozi vijana wa Yanga 🔥.Hiii Yanga ipewe Kombe la shirikisho Afrika mapema tuu hawana mpinzani huku 😁.
No comments:
Post a Comment