NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Apr 1, 2023

AL AHLY 3️⃣-0️⃣ AL HILAL

 🏟️ AL AHLY 3️⃣-0️⃣ AL HILAL


Al Ahly SC wanatinga Robo fainali ya CAF Champions League kibabe baada ya kushusha mvua ya mabao Kwa wapinzani wao Al Hilal Ormduman 🔥.


Mabao ya Karhaba na El Shahat aliyefunga mabao mawili na kuwalaza na Viatu mabeki wa Al Hilal.


Percy Tau Kwa sasa yupo moto sana anautwanga mwingi sana mashabiki wa Al Ahly wanaimba jina lake tuu .


Al Ahly SC wanaungana na Mamelodi Sundowns kutinga Robo fainali kutoka kundi D..... Sundowns wakifanya mabadiliko makubwa ndani ya Kikosi Chao wameichapa Cotton Sports 2-1 .


😁😁Wazee wa kamati ya Roho mbaya Kwa sasa tunaomba Al Ahly akutane na Wydad Athletic Casablanca.




No comments:

Post a Comment