NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Feb 25, 2023

Vipers Fc vs Simba Sc

Full Time

Vipers Fc 0-1 Simba

Inonga⚽

Hatimaye Simba imepata ushindi wake wa kwanza katika hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kwa kuichapa Vipers Fc bao 1-0

Simba imefufua matumaini ya kutinga hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa

Ushindi huo unaifanya Simba kuwa nafasi ya tatu ikiwa na alama tatu wakati Raja Casablanca ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 6 huku nafasi ya pili ikishikwa na Horoya AC ambapo wana mchezo mmoja ugenini Morocco dhidi ya Raja Casablanca
#mo72hd 
#NewsUpdate 
#CAFChampionsLeague


 

 

No comments:

Post a Comment