NEWS AND ENTERTAINMENT

Search...

Followers

Mar 28, 2023

𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗩𝗦 𝗨𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔

 𝗙𝗧: MECHI YA KUFUZU AFCON 2023


🏟️ Benjamin Mkapa


TANZANIA 🇹🇿 0-1 🇺🇬 UGANDA

Taifa Stars imekubali kichapo cha 1-0 dhidi ya Uganda, The Cranes katika dimba la Benjamin Mkapa. Bao la dakika la lala salama Rogers Mato limefifusha matumaini ya Tanzania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023.


Tanzania inasalia nafasi ya pili alama 4 sawa na Uganda iliyopo nafasi ya tatu baada ya mechi 4.


Algeria inaendelea kuongoza kundi F ikiwa na alama 12 huku Washika mkia Niger wakiwa na alama 2.


#mo72hd 

#NewsUpdate


No comments:

Post a Comment